TFS YAPEWA TUZO YA MAZINGIRA 2023
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS umepewa tuzo rasmi ya taasisi bora ya Serikali katika kuhakikisha zoezi la upandaji miti na utunzaji mazingira linakuwa endelevu mwaka 2023.