TFS KUJA NA MUONGOZO WA KUONGEZA THAMANI YA MAZAO YA NYUKI
Akizungumza mara baada ya kumaliza mafunzo maalumu ya kuongezaa dhamani ya mazao ya nyuki yaliotolewa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa siku mbili (Juni 3 hadi 4, 2023), Mratibu wa mafunzo hayo kutoka Kitengo cha Rasilimali za Nyuki – Masoko na Ubora wa Mazao ya Nyuki, Mhifadhi Grace Buchukundi anasema lengo la mafunzo […]