TFS YAPEWA TUZO YA MAZINGIRA 2023
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS umepewa tuzo rasmi ya taasisi bora ya Serikali katika kuhakikisha zoezi la upandaji miti na utunzaji mazingira linakuwa endelevu mwaka 2023.

Akizungumza mara baada ya kumaliza mafunzo maalumu ya kuongezaa dhamani ya mazao ya nyuki yaliotolewa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa siku mbili (Juni 3 hadi 4, 2023), […]